sw.wikipedia.org

11 Aprili - Wikipedia, kamusi elezo huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mac - Aprili - Mei
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 11 Aprili ni siku ya 101 ya mwaka (ya 102 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 264.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Stanislaus, Antipa wa Pergamo, Filipo wa Gortina, Domnio, Barsanufi wa Gaza, Isaka wa Monteluco, Gemma Galgani, Elena Guerra n.k.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 11 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.