sw.wikipedia.org

11 Mei - Wikipedia, kamusi elezo huru

  • ️Sun Dec 16 2012

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Apr - Mei - Jun
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 11 Mei ni siku ya 131 ya mwaka (ya 132 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 234.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Mayulo, Antimo wa Roma, Mosyo wa Bizanti, Mamerto, Gangolfi, Mayolo wa Cluny, Walter wa Esterp, Fransisko De Geronimo, Ignas wa Laconi, Mathayo Le Van Gam n.k.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 11 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.