sw.wikipedia.org

14 Agosti - Wikipedia, kamusi elezo huru

  • ️Sun Dec 09 2012

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jul - Agosti - Sep
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 14 Agosti ni siku ya 226 ya mwaka (ya 227 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 139.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Maksimiliano Maria Kolbe, Ursichini wa Iliriko, Marselo wa Apamea, Eusebi wa Roma, Fahitina, Arnulfi wa Soissons, Wafiadini wa Otranto, Dominiko Ibanyez, Fransisko Shoyemon n.k.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 14 Agosti kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.