1773 - Wikipedia, kamusi elezo huru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii inahusu mwaka 1773 BK (Baada ya Kristo).
- 12 Januari - Jumba la makumbusho (museum) la kwanza la Marekani lilifumguliwa hadharani katika mji wa Charleston, jimbo la South Carolina.
- 17 Januari - Rubani James Cook ni Mzungu wa kwanza kuvuka mstari wa Antaktiki.
- 16 Desemba - Wakoloni katika mji wa Boston kule Marekani wanavamia meli na kusababisha Sherehe ya Chai ya Boston (Boston Tea Party).
- 9 Februari - William Henry Harrison, Rais wa Marekani (1841)