17 Februari - Wikipedia, kamusi elezo huru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 17 Februari ni siku ya arubaini na nane ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 317 (318 katika miaka mirefu).
- 1867 - Meli ya kwanza inapitia Mfereji wa Suez
- 1888 - Otto Stern, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1943
- 1925 - Hal Holbrook, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1961 - Andrey Korotayev, mwanahistoria na mwanauchumi kutoka Urusi
- 1963 - Larry Whitney, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1965 - Michael Bay, mtayarishaji wa filamu kutoka Marekani
- 1971 - Denise Richards, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1985 - Anne Curtis, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino na Australia
- 1310 - Mtakatifu Aleksi Falconieri, mtawa mwanzilishi kutoka Italia
- 1673 - Moliere, mshairi kutoka Ufaransa
- 1970 - Shmuel Yosef Agnon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1966
- 1982 - Thelonious Monk, mwanamuziki wa Marekani
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Waanzilishi saba wa shirika la Watumishi wa Maria, Theodoro wa Amasea, Bonoso wa Trier, Mesrop, Fintano wa Clonenagh, Flaviano wa Konstantinopoli, Finano, Silvino wa Auchy, Kostabile, Evermodo, Petro Yu Chong-nyul n.k.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |