sw.wikipedia.org

17 Septemba - Wikipedia, kamusi elezo huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 17 Septemba ni siku ya 260 ya mwaka (ya 261 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 105.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Hildegarda wa Bingen, Roberto Bellarmino, Satiro wa Milano, Lambati wa Maastricht, Rodingo, Kolomba wa Cordoba, Rejinaldo, Petro wa Arbues, Stanislaus Papczynski, Emanueli Nguyen Van Trieu, Fransisko Maria wa Camporosso, Sigimundi Felinski n.k.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 17 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.