1817 - Wikipedia, kamusi elezo huru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii inahusu mwaka 1817 BK (Baada ya Kristo).
- Shaka Zulu anawashinda Wandandwe kwenye mapigano ya kilima cha Gqokli (eneo la Afrika Kusini) akitumia mbinu za kijeshi alizozijifunza alipokuwa chini ya Dingiswayo.
- 30 Novemba - Theodor Mommsen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1902)
- 24 Juni - Mtakatifu Yosefu Yuan Zaide, padri mfiadini wa China
- Dingiswayo kiongozi wa Wamthethwa katika eneo la Afrika Kusini ya leo anauawa na Wandandwe vitani.