1914 - Wikipedia, kamusi elezo huru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii inahusu mwaka 1914 BK (Baada ya Kristo).
- 28. Juni: Kaisari-mteule Ferdinand wa Austria anauawa mjini Sarajevo.
- 28. Julai: Austria inatangaza hali ya vita dhidi ya Serbia.
- Agosti: vita ya Austria-Serbia inapanuka kuwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.
- 3 Septemba - Uchaguzi wa Papa Benedikto XV
- Oktoba: Milki ya Osmani inajiunga na vita upande wa Ujerumani.
- 5 Februari - Alan Hodgkin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 22 Februari - Renato Dulbecco, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975
- 31 Machi - Octavio Paz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1990
- 26 Aprili - Bernard Malamud, mwandishi kutoka Marekani
- 30 Aprili – Vermont Royster, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1953
- 19 Mei - Max Perutz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1962
- 17 Juni – John Hersey, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1945
- 29 Juni - Ellen Kuzwayo, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 14 Oktoba - Raymond Davis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2002
- 25 Oktoba - John Berryman, mshairi kutoka Marekani
- 28 Oktoba - R.L.M. Synge, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952
bila tarehe
- Tenzing Norgay, mpelelezi kutoka Nepal
- 16 Machi - Charles-Albert Gobat, mwanasiasa Mswisi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1902
- 23 Machi - Mtakatifu Rafka Petra, mmonaki wa kike wa Lebanon
- 25 Machi - Frederic Mistral, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1904
- 2 Aprili - Paul Heyse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1910
- 14 Juni - Adlai Stevenson, Kaimu Rais wa Marekani (1893-97)
- 21 Juni - Bertha von Suttner, mwandishi Mwaustria, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1905
- 20 Agosti - Papa Pius X