1924 - Wikipedia, kamusi elezo huru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii inahusu mwaka 1924 BK (Baada ya Kristo).
- 3 Machi - Uongonzi wa Khalifa umepinduliwa na Kemal Atatürk.
- 10 Januari - Max Roach, mwanamuziki kutoka Marekani
- 11 Januari - Roger Guillemin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1977
- 8 Februari - Lisel Mueller, mshairi kutoka Marekani
- 23 Februari - Allan Cormack, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979
- 3 Aprili - Marlon Brando, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 11 Mei - Antony Hewish, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1974
- 16 Mei - Dawda Jawara, Rais wa Gambia (1970-1994)
- 3 Juni - Torsten Wiesel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 12 Juni - George H. Bush, Rais wa Marekani (1989-93)
- 14 Juni - James Black, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
- 1 Agosti - Georges Charpak, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1992
- 19 Agosti - Willard Boyle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2009
- 22 Agosti - James Kirkwood, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1976
- 31 Agosti - Buddy Hackett, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2 Septemba - Daniel arap Moi, Rais wa pili wa Kenya
- 13 Septemba - Maurice Jarre, mwanamuziki kutoka Ufaransa
- 1 Oktoba - Jimmy Carter, Rais wa Marekani (1977-81)
- 28 Novemba - Dennis Brutus, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- Desemba - Girma Wolde-Giorgis, Rais wa Ethiopia
- 21 Januari - Vladimir Lenin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti
- 3 Februari - Woodrow Wilson, Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1919
- 19 Mei - Mtakatifu Maria Bernarda Buetler, bikira Mfransisko mmisionari kutoka Uswisi
- 3 Juni - Franz Kafka, mwandishi wa Kijerumani kutoka milki ya Austria-Hungaria
- 12 Oktoba - Anatole France, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1921
- 29 Novemba - Giacomo Puccini, mtunzi wa opera kutoka Italia
- 29 Desemba - Carl Spitteler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1919