1944 - Wikipedia, kamusi elezo huru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii inahusu mwaka 1944 BK (Baada ya Kristo).
- 6 Januari - Rolf Zinkernagel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1996
- 9 Februari - Alice Walker, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1983
- 16 Februari - Richard Ford, mwandishi kutoka Marekani
- 26 Machi - Diana Ross, mwanamuziki kutoka Marekani
- 7 Aprili - Gerhard Schröder, Chansela wa Ujerumani (1998-2005)
- 13 Aprili - Euphrase Kezilahabi, mwandishi Mtanzania
- 14 Mei - George Lucas, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 6 Juni - Phillip Sharp, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1993
- 25 Septemba - Michael Douglas, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 19 Oktoba - Peter Tosh, mwanamuziki wa rege
- 21 Oktoba - Jean-Pierre Sauvage, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2016
- 28 Desemba - Kary Mullis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1993
bila tarehe
- 23 Januari - Edvard Munch, mchoraji kutoka Norwei
- 23 Oktoba - Charles Glover Barkla, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1917
- 5 Novemba - Alexis Carrel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1912
- 30 Desemba - Romain Rolland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1915