1978 - Wikipedia, kamusi elezo huru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii inahusu mwaka 1978 BK (Baada ya Kristo).
- 26 Agosti - Uchaguzi wa Papa Yohane Paulo I
- 16 Oktoba - Uchaguzi wa Papa Yohane Paulo II
- 24 Januari - Kristen Schaal, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 4 Februari - Danna Garcia, mwigizaji filamu kutoka Kolombia
- 16 Februari - John Tartaglia, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 11 Machi - Didier Drogba, mchezaji mpira wa Cote d'Ivoire
- 18 Machi - Halima James Mdee, mbunge Mtanzania
- 31 Machi - Tony Yayo, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1 Mei - James Badge Dale, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 8 Mei - Baraka Makaba, mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania
- 19 Juni - Zoe Saldana, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 20 Juni - Frank Lampard, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza
- 2 Agosti - Marcello Macchia, mwigizaji wa filamu kutoka Italia* 14 Septemba - Silvia Navarro, mwigizaji filamu kutoka Mexiko
- 14 Oktoba - Usher Raymond, mwanamuziki kutoka Marekani
- 27 Oktoba - Mrisho Mpoto, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 2 Novemba - Noah Ngeny, mwanariadha kutoka Kenya
- 29 Desemba - Bonnah Kaluwa, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 13 Januari - Hubert Humphrey, Kaimu Rais wa Marekani
- 11 Februari - Harry Martinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka 1974
- 22 Februari - Phyllis McGinley, mshairi kutoka Marekani
- 14 Julai - Margaret Widdemer, mshairi kutoka Marekani
- 6 Agosti - Mwenye heri Papa Paulo VI (1963-1978)
- 9 Agosti – James Gould Cozzens, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka 1949
- 18 Agosti - Jomo Kenyatta, Rais wa kwanza wa Kenya
- 26 Septemba - Karl Manne Siegbahn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka 1924
- 28 Septemba - Papa Yohane Paulo I (1978)
- 11 Desemba - Vincent du Vigneaud, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka 1955