sw.wikipedia.org

1 Aprili - Wikipedia, kamusi elezo huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mac - Aprili - Mei
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 1 Aprili ni siku ya 91 ya mwaka (ya 92 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 274.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Venansi, Anastasi na wenzao, Agape na Kionia, Maria wa Misri, Valeriko, Selso wa Armagh, Ugo wa Grenoble, Gilbati wa Caithness, Lodoviko Pavoni n.k.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 1 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.