sw.wikipedia.org

24 Julai - Wikipedia, kamusi elezo huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jun - Julai - Ago
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 24 Julai ni siku ya 205 ya mwaka (ya 206 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 160.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Charbel Makhlouf, Kristina wa Bolsena, Viktorini wa Amiterno, Fantino Mzee, Eufrasia wa Thebe, Deklani, Sigolena, Boris na Gleb, Baldwino wa Rieti, Kinga wa Hungaria, Mamajusi, Yohane Boste, Yosefu Fernandez n.k.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 24 Julai kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.