sw.wikipedia.org

29 Juni - Wikipedia, kamusi elezo huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mei - Juni - Jul
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 29 Juni ni siku ya 180 ya mwaka (ya 181 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 185.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya Mitume Petro na Paulo, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Siro wa Genova, Kasio wa Narni, Emma wa Gurk, Paulo Wu Juan, Yohane Mbatizaji Wu Mantang, Paulo Wu Wanshu, Maria Du Tianshi, Magdalena Du Fengju n.k.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 29 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.