sw.wikipedia.org

6 Septemba - Wikipedia, kamusi elezo huru

  • ️Sat Dec 08 2012

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 6 Septemba ni siku ya 249 ya mwaka (ya 250 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 116.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Zekaria, Onesiforo, Donasyani, Presidi na wenzao, Eleuteri wa Spoleto, Kanoaldi, Bega wa Cumbria, Magnus wa Fuessen, Betrandi wa Garrigues n.k.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 6 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.