sw.wikipedia.org

8 Desemba - Wikipedia, kamusi elezo huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nov - Desemba - Jan
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 8 Desemba ni siku ya 342 ya mwaka (ya 343 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 23.

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya Bikira Maria Kukingiwa dhambi ya asili, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Makari wa Aleksandria, Papa Eutikiani, Eukari wa Trier, Patapi wa Thebe, Romariki, Theobadi wa Marly, Noeli Chabanel, Narsisa wa Yesu n.k.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 8 Desemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.