8 Juni - Wikipedia, kamusi elezo huru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 8 Juni ni siku ya 159 ya mwaka (ya 160 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 206.
- 68 - Bunge la Roma linamkubali mfalme mkuu Galba
- 218 - Pigano la Elagabalus, Kaisari wa Dola la Roma, kumshinda Kaisari Macrinus
- 536 - Silverius Mtakatifu amechaguliwa kuwa Papa
- 1624 - Mtetemeko wa ardhi unatokea katika nchi ya Peru
- 1866 - Bunge la Kanada linakutanika mara ya kwanza katika mji wa Ottawa
- 1810 - Robert Schumann, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1867 - Frank Lloyd Wright, msanifu majengo kutoka Marekani
- 1903 - Marguerite Yourcenar, mwandishi na mshairi kutoka Ubelgiji
- 1916 - Francis Crick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 1933 - Joan Rivers, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1936 - Kenneth Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1982
- 1947 - Eric Wieschaus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1995
- 1950 - Teddy Louise Kasela-Bantu, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1965 - Giovanni Cesare Pagazzi, askofu mkuu Mkatoliki nchini Italia
- 1975 - Michael Buckley, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1977 - Kanye West, mwanamuziki kutoka Marekani
- 632 - Muhammad, nabii wa Uislamu
- 1845 - Andrew Jackson, Rais wa Marekani (1829-1837)
- 1997 - Amos Tutuola, mwandishi kutoka Nigeria
- 1998 - Sani Abacha, Rais wa 10 wa Nigeria (1993-1998)
- 2009 - Omar Bongo, Rais wa Gabon (1967-2009)
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimino wa Aix, Gildadi, Medadi, Fortunato wa Fano, Klodolfi, Wiliamu wa York, Yakobo Berthieu, Maria Teresa Chiramel n.k.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 8 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |