sw.wikipedia.org

9 Februari - Wikipedia, kamusi elezo huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jan - Februari - Mac
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29
Kalenda ya Gregori

Tarehe 9 Februari ni siku ya arubaini ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 325 (326 katika miaka mirefu).

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Apolonia wa Aleksandria, Wafiadini wa imani sahihi wa Aleksandria, Primo na Donato, Maroni, Teilo, Sabino wa Canosa, Ansberto wa Rouen, Alto, Rinaldo wa Nocera, Mikaeli Febres n.k.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 9 Februari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.