Dordogne - Wikipedia, kamusi elezo huru
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
![](https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/5e/Dordogne-Position.svg/220px-Dordogne-Position.svg.png)
Dordogne ni département (Kifaransa) au department (Kiingereza) la Aquitaine ya Ufaransa. Mji mkuu wake ni Périgueux.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Dordogne kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |