sw.wikipedia.org

Kasuku - Wikipedia, kamusi elezo huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kasuku
Kasuku Mkia-mwekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Psittaciformes (Ndege kama kasuku)
Ngazi za chini

Familia 4; familia 2 na jenasi 8 katika Afrika:

Kasuku ni ndege wa oda Psittaciformes. Spishi za jenasi nyingine zinaitwa kwao au cherero. Kasuku wengine ni wakubwa, wengine wadogo. Wengi wana rangi kali. Wana mkia mrefu na miguu yao ina vidole viwili vikabilivyo mbele na viwili vikabilivyo nyuma. Domo lao lina nguvu sana na mataya yamepindika kwa pande za kuelekea kama koleo. Kasuku wanatokea kanda zote za tropiki za dunia. Hula mbegu, kokwa, matunda na macho ya maua, pengine wadudu na wanyama wadogo pia. Spishi za “lories” na “lorikeets” hula mbochi na matunda mororo. Kasuku takriban wote hutaga mayai yao tunduni kwa mti.

  • Cherero kichwa-machungwa

    Cherero kichwa-machungwa

  • Cherero wa Lilian

    Cherero wa Lilian

  • Cherero shingo-njano

    Cherero shingo-njano

  • Cherero uso-mwekundu

    Cherero uso-mwekundu

  • Cherero uso-pinki

    Cherero uso-pinki

  • Cherero mkufu-mweusi

    Cherero mkufu-mweusi

  • Cherero Habashi

    Cherero Habashi

  • Kasuku mweusi

    Kasuku mweusi

  • Kasuku vasa

    Kasuku vasa

  • Kwao kichwa-kahawia

    Kwao kichwa-kahawia

  • Kwao paji-jekundu

    Kwao paji-jekundu

  • Kwao mabega-njano

    Kwao mabega-njano

  • Kwao shingo-kahawia

    Kwao shingo-kahawia

  • Kwao wa Rüppell

    Kwao wa Rüppell

  • Kwao tumbo-jekundu

    Kwao tumbo-jekundu

  • Kwao magharibi

    Kwao magharibi

  • Kasuku mdogo wa Morisi

    Kasuku mdogo wa Morisi

  • Kasuku mdogo kijani

    Kasuku mdogo kijani

  • Kasuku mkia-mwekundu

    Kasuku mkia-mwekundu

  • Kasuku kijivu

    Kasuku kijivu

  • Red-breasted parakeet

    Red-breasted parakeet

  • Brown lory

    Brown lory

  • Red lory

    Red lory

  • Dusky lory

    Dusky lory

  • Rainbow lorikeet

    Rainbow lorikeet

  • Iris lorikeet

    Iris lorikeet

  • Lorius lory

    Lorius lory

  • Collared lories

    Collared lories

  • Blue-crowned lorikeet

    Blue-crowned lorikeet

  • Musk lorikeet

    Musk lorikeet

  • Red-flanked lorikeet

    Red-flanked lorikeet

  • Kea

    Kea

  • Guaiabero

    Guaiabero

  • Red shining parrot

    Red shining parrot

  • Horned parakeet

    Horned parakeet

  • Red-crowned parakeet

    Red-crowned parakeet

  • Red-capped parrot

    Red-capped parrot

  • Blue bonnet

    Blue bonnet

  • Red-rumped parrot

    Red-rumped parrot