sw.wikipedia.org

Milenia ya 3 KK - Wikipedia, kamusi elezo huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala hii inahusu milenia ya 3 KK (miaka 3000 KK - 2001 KK).

Hali mnamo mwisho wa milenia ya tatu kabla ya Kristo (kuelekea mwaka 2000 KK)

[hariri | hariri chanzo]

Ramani ya hali za jamii duniani kwenye mwisho wa milenia ya 3 KK      Wawindaji-wakusanyaji      Wafugaji wahamaji      Jamii sahili za wakulima      Jamii changamano za kilimo (Mashariki ya Kati, Enzi ya Bronzi ktk Ulaya, Nasaba ya Xia, Tamaduni za kale kwenye Andes)      Jamii zilizokuwa na madola (Misri ya Kale, Mesopotamia, , Utamaduni wa Minoa, Ustaaarabu wa Indus, Norte-Chico (Peru)

Mnamo mwaka 3000 watu wanaanza kusambaa kwenye Visiwa vya Karibi

Mwandiko wa Kisumeri

Wikimedia Commons ina media kuhusu: