sw.wikipedia.org

Septimius Severus - Wikipedia, kamusi elezo huru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Septimius Severus

Lucius Septimius Severus (11 Aprili, 1464 Februari, 211) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 9 Aprili, 193 hadi kifo chake. Alimfuata Didius Julianus. Alikuwa Kaizari wa Roma wa kwanza kutoka Afrika ya Kiroma aliyezaliwa huko Leptis Magna (Libya ya leo).

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Septimius Severus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.