Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Yaliyomo
faida
Mandhari
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Kiswahili
[hariri]
Nomino
[hariri]
faida
- hali ya bei ya kuuza kuzidi ya kununua
- ni hali au jambo ambalo linapelekea au linasababisha matokeo mazuri au manufaa.
- Ni kitu ambacho kinaweza kuwa na thamani au mchango mzuri kwa mtu au kwa hali fulani.
Kisawe
[hariri]
Tafsiri
[hariri]
Rudishwa kutoka "https://sw.wiktionary.org/w/index.php?title=faida&oldid=134127"